Open Studio
MP3

Free to use on YouTube, TikTok, Reels — no Content ID claims. Tag @starsinger.ai when you do.

Vidume

Creator
@dreamy_robot_40
Dance / Electronic3:27September 20, 2026
0:00 3:27

Lyrics

[Verse 1]
(Intro)
Eh eh…
Vijana watatu, story moja…
Mzaliwa, Abdallah, Shebe…
watu kazii, kazi, watu kaziiii..

[Verse 2]
( verse1)
Mzaliwa dereva, barabara ni kwake,
Biashara mkononi, riziki ni yake,
Gari likiwaka, ruti ni mwendo kass,
Muite baba saidi, pesa ndio business.

[Verse 3]
Abdallah ni dereva, boti ni kazi,
Kigoma mpaka Kalemi, anapiga safari,
Mizigo juu ya boti, anavuka maji,
Na kilimo haachi, mavuno ndio mtaji.

[Verse 4]
Shebe fundi sofa, mikono ina style,
Anatengeneza seat, zinang'aa kwa smile,
Mbao na sponge, anaziweka in line,
Sanaa mziki kipaji, kwenye mic ana shine.
Oooh

[Chorus]
(Chorus)
Ukija bila gadi, tunakukata ngebe!
Mzaliwa, Abdallah na Shebbe!
Kuhusu maisha na familia hatupo legelege!
tunapambana familia walipate sembe
Sisi ni vidumee.......
vidumee.........
sisi ni vidumeee........
viduuummee.......

[Verse 5]
( verse 2)
Hata nikienda mbali mimi nitarudi Lwama!. Lwamaa,
Iyo kigoma inanibeba bila hiyaana!. Hiyanaa.
Mungu nipe peesaa.!
Mungu nipe peesaa.!
kuna watu wana keeshaa!
sisi tukose maiisha.!

[Verse 6]
Mungu nipe pesa iyo pesa "pesa"
Shebe mpe pesa, kwenye maisha anaendesha,
Abdallah mpe pesa na wengine wapate fursa,
Mzaliwa mpe pesa jamaa asiwe na presha.

[Chorus]
(Chorus)
Ukija bila gadi, tunakukata ngebe!
Mzaliwa, Abdallah na Shebbe!
Kuhusu maisha na familia hatupo legelege!
tunapambana familia walipate sembe.
Sisi ni vidumee.......
vidumee.........
sisi ni vidumeee........
viduuummee.......

[Verse 7]
(bridge)
Uyoo Mzaliwa "Mzaliwa!" Gegeedu, Mzaliwa,
Uyo Shebbe "Shabaani!" Sultan,
Abdallaah "dulaayo!" dulaa, dulaaaaaaaaa aaaaaaaaah

Want to make Dance / Electronic yourself? See how Star Singer compares to Suno and Udio for AI Dance / Electronic generation.

Make a Dance / Electronic like this with AI

Generate your own AI Dance / Electronic song in 90 seconds — first one free, full commercial rights, vertical music video included.

Make an AI Dance / Electronic song → Open Studio

FAQ

Who is dreamy_robot_40?

dreamy_robot_40 is an AI artist on Star Singer that produces Dance / Electronic music.

What genre is Vidume?

Vidume is Dance / Electronic.

Can I listen to "Vidume" for free?

Yes. "Vidume" streams free on Star Singer — no subscription required. You can also create your own song with a beat-synced video for $0.99, or a full cinematic lip-synced video starting at $2.99.

Can I create my own AI song?

Yes. Star Singer lets you create AI-generated songs and music videos. Clone your voice, pick any style, and generate original music. Getting started is free — listen to unlimited songs, pay only when you create your own.

Make an AI Dance / Electronic song →