Open Studio
MP3

Free to use on YouTube, TikTok, Reels — no Content ID claims. Tag @starsinger.ai when you do.

Mkude boy _mtafutaji

Creator
@wild_lighthouse_86
Classical3:27September 10, 2026
0:00 3:27

Lyrics

MTAFUTAJI — MKUDE BOY

[Verse 1]
Yeah yeah…
Mkude Boy…
Inatoka 3Gang Worldwide 🌍
Mtafutaji…
Yeah yeah yeah!

[Verse 1]
Asubuhi naamka namuomba Rabuka
Naenda kutafuta sijui kama nitapata
Watu wananicheka, wananikatisha tamaa
Ila nguzo imara haiwezi vunjika, alisema mama

Oooh mimi ni mtafutaji
Ipo siku atanipa, my God
Hata nikikosa leo, sitakata tamaa
Maana riziki yangu ipo mikononi mwa Rabuka

[Verse 2]
Nipo magetoni sijui nitafanya nini
Chakula sioni mfukoni sina hata hamsini
Jasho usoni, hofu kubwa moyoni jamani
Lakini moyo unasema, usikate tamaa mimi

Mtaani nimezunguka natafuta hata dili
Sijui leo nitapata, ila bado natafuta dili
Wengine wananicheka, wanasema sina dili
Mama alisema mwanangu, vumilia utapata dili

[Chorus]
Mimi ni mtafutaji, natafuta maisha
Leo nikikosa, kesho nitapata maisha
Mungu ndiye anajua, safari ya maisha
Sitakata tamaa, nitasonga kwenye maisha

Oooh mtafutaji, mtafutaji mimi
Hata nikilala njaa, kesho naamka mimi
Jasho likinitoka, nitalivumilia mimi
Ipo siku nitafika, mtaniambia mimi

[Verse 3]
Lawate nimeshakomaa, Pirlo Boy anajua
Matiasi amejioneaaa, saloon nikinyoa
Wananiona leo, hawajui nilikotoka mimi
Nimepitia mengi, lakini bado nasimama mimi

Sina hela mfukoni, lakini nina ndoto
Kila siku nasonga, nikifuatilia ndoto
Wakinicheka leo, wataheshimu hii ndoto
Mungu akibariki, itatimia hii ndoto

[Chorus]
Mimi ni mtafutaji, natafuta maisha
Leo nikikosa, kesho nitapata maisha
Mungu ndiye anajua, safari ya maisha
Sitakata tamaa, nitasonga kwenye maisha

Outro / Shout-outs
Yeah yeah…
Mkude Boy…
Mtafutaji mpaka mwisho!

Uncle Idi… msalimie jirani!
Wapi Bwashee Pirlo… wasalimie!
3Gang… Worldwide! 🌍
Kwa heshima… Boss Lady Mama Uzuriiiiii!
Yeah yeah…
Mkude Boy…
Mtafutaji…
Ipo siku tutafika! 🔥

Want to make Classical yourself? See how Star Singer compares to Suno and Udio for AI Classical generation.

Make a Classical like this with AI

Generate your own AI Classical song in 90 seconds — first one free, monetizable with a credit, vertical music video included.

Make an AI Classical song → Open Studio

FAQ

Who made "Mkude boy _mtafutaji"?

"Mkude boy _mtafutaji" was made by @wild_lighthouse_86 on Star Singer, where anyone can write and sing an original song with AI.

What genre is Mkude boy _mtafutaji?

Mkude boy _mtafutaji is Classical.

Can I listen to "Mkude boy _mtafutaji" for free?

Yes. "Mkude boy _mtafutaji" streams free on Star Singer — no subscription required. You can also make your own: one AI song a day is free, extra songs with a lyric video are $1.99, a lip-synced music video starring you is $19.99, and cinematic videos start at $2.99.

Can I create my own AI song?

Yes. Star Singer lets you create AI-generated songs and music videos. Clone your voice, pick any style, and generate original music. Listening is free and unlimited, and one song a day is free to make — no subscription.

Make an AI Classical song →