Lyrics
*ukiwa na uhai inatosha
* Kuna wengine wapo ila wamekufa
*uache kujidai ukiwa nacho
*Kuna wenzako hata kula tatizo
*Alio kupa wewe hajanipa
*simanishi kwamba kanitupa
*nafasi niza ote kupata
*ukipata usisahau kuwaza
*kila kitu huenda na Wakati
*ukiwa nazo weka hisabati
*kupata kukosa sio Bahati
*binadamu wote ni sawaah
ooh
#hata kama ukiwa billioner
#usijisahau kwa mungu kurejea
#sali Sana pia kujitolea weweeeh
#na usisahau uliko tokea (usijisahau)
usijisahau tunapita usisahau mwana wa mungu usisahau wote ni sawaah
*idadi ya watu wengi tupo down
*tunalindwa na neema ya bwana
*hata kuishi tunaishi kwa mfano
*ya,walokosa na hatuna hata msaada
*ukiona wewe uko vizuri shukuru
*Kuna wengine hadi walisha kufuru
*we unaacha wazazi Wana lia
*wakati mungu kakufungulia njia
*ulisha wahi kuwaza ukifulia
*utakua wa Nani kwa Dunia
*Kwanza hupendi kuomba mungu
*hata kutoa fungu unaonaa utaisha ah
*nakushauri ndugu yangu rudi kwa mungu
*alo kuinuaaah aah
#hata kama ukiwa billioner
#usijisahau kwa mungu kurejea
#sali Sana pia kujitolea weweeeh
#na usisahau uliko tokea (usijisahau) usijisahau
usijisahau tunapita usisahau mwana wa mungu usisahau wote ni sawaah aaaah
weweeh
(GEREKHAN PRODUCTION)
This song was made with StarSinger
Describe a person or a moment in a few words. StarSinger writes the lyrics and sings it.
FAQ
Who made "USIJISAHAU"?
"USIJISAHAU" was made by @sable_ember_53 on Star Singer, where anyone can write and sing an original song with AI.
What genre is USIJISAHAU?
USIJISAHAU is Classical.
Can I listen to "USIJISAHAU" for free?
Yes. "USIJISAHAU" streams free on Star Singer — no subscription required. You can also make your own: one AI song a day is free, extra songs with a lyric video are $1.99, a lip-synced music video starring you is $19.99, and cinematic videos start at $2.99.
Can I create my own AI song?
Yes. Star Singer lets you create AI-generated songs and music videos. Clone your voice, pick any style, and generate original music. Listening is free and unlimited, and one song a day is free to make — no subscription.
Thanks — this has been sent to our review team.